Chelsea inajiandaa kutoa kitita cha paundi mil 25 ili kumnasa beki kisiki wa burnley.
Inakaririwa na gazeti la mirror kuwa conte anaamini michael keane ndiye mmoja wa suluhisho ka kamati yake ya ulinzi.
Keane pia anatakiwa na mabingwa wa epl leicester city
No comments:
Post a Comment