Tuesday, 27 September 2016

Di mateo kufukizwa?

Aliyekuwa meneja wa chelsea Roberto di mateo alimaarufu kama robbie,yupo katika wakati mgumu wa kutetea kibarua chake huko aston vila baada ya mwanzo mbaya wa ligi.

inaaminika kuwa di matteo Amepewa mechi mbili tu kati ya barnsley na preston north end jumamosi,kushindwa kushinda katika mechi hizo mbili itapelekea kibarua kuota nyasi.

Di mateo ni meneja pekee wa chelsea ambaye ameipatia ubingwa wa ulaya chelsea mwaka 2012.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.