Monday, 26 September 2016

Guardiola na conte waingia vitani kwa beki

Beki wa kati wa juventus na timu ya taifa ya italia Leonardo bennuci anawindwa na makocha wote wa chelsea na man city
benucci alihusishwa sana na usajir ndani ya chelsea kipindi cha usajiri na inasadikika kutokana na beki ya chelsea kusuasua inawezekana wakaanza mahijiano upya januari
Juventus wanahitaji euro milioni 50

1 comment:

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.