"Hakuna kisingizio" ni maneno ambayo Eden Hazard na Nemanja Matic wameyasema baada ya kupoteza mechi baina ya Arsenal weekend hii.
Matic na Hazard walianza katika kikosi cha kwanza katika mchezo huo baina ya washika mijegeja hao wa London.
Chelsea tumepoteza mchezo wa pili mfululizo katika ligi baada ya weekend iliyopita kupoteza mchezo muhimu dhidi ya majogoo, Liverpool.
No comments:
Post a Comment