Monday, 26 September 2016

Conte: Tusipoangalia yatajirudia ya mwaka jana

Ikumbukwe msimu uliopita chelsea ilimaliza ligi ikiwa nafasi ya kumi baada ya msimu mbovu ulioambatana na misukosuko ya hapa na pale
Meneja wa chelsea baada ya kipigo cha arsenal hapo juzi alikuwa na hya ya kusema
"inatakiwa tubadilike sana kama tunataka kuwa juu ya msimamo,lakini ujumbe wangu sio muhimu,ujumbe wa muhimu niule ambao unaonekana kiwanjani,inatakiwa wote tuuelewe ujumbe huo"
aliendelea
"Sijalala baada ya kufungwa,sijalala kwa siku mbili najaribu kutafuta suluhisho,nilipata hasira kipindi cha kwanza,lakini wachezaji wangu walikuwa na hasira pia,hatukuridhika na kiwango chetu"
chelsea sasa inashika nafasi ya nane katika msimamo wa ligi

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.