Kutokana na uchambuzi wa baadhi ya wachumbuzi wa soka, wamekaa chini wakafikiri na kutoa kikosi ambacho kama wachezaji wasingeuzwa na hawa wa sasa basi Chelsea ingetisha sana..
Formation au Mfumo wa kutumika ni 4-1-4-1
1. Petr Cech
2. Cezar Azpilicueta
3. Filipe Luis
4. John Terry
5. Kurt Zouma
6. N'golo Kante
7. Andre Schurrle
8. De Bruyne
9. Danny Sturridge
10. Juan Mata
11. Eden Hazard
kutokana na
dailymirror.co.uk
No comments:
Post a Comment