Nahodha, Kiongozi na Gwiji wa Chelsea, John Terry alipohojiwa kuhusu Chelsea na kwanini aliamua kuachana na ligi kuu na kwenda kucheza ligi daraja la kwanza maarufu kama Championship katika klabu ya Aston Villa.
Lakini alichokijibu "kwa sababu sitaki kucheza dhidi ya Chelsea"
Nimekuwekea hapa video ya magoli yake yote akiwa Chelsea, magoli 67.
No comments:
Post a Comment