Nyota wa Leicester city, Danny Drinkwater huenda akajiunga na Chelsea muda wowote kuanzia sasa mara baada ya Chelsea kuweka dau la paundi milioni 25 ili kumsajili nyota huyo raia wa Uingereza.
Chelsea inatajwa pia kumuwania nyota wa Everton, Ross Barkley na nyota wa Arsenal, Oxlade Chamberlain.
No comments:
Post a Comment