Saturday, 1 July 2017

Telles mbadala wa Sandro kwa Chelsea

Inaonekana hali ni ngumu kwa upande wa Chelsea katika jitihada zake za kumsajili beki wa kushoto wa Juventus, Alex Sandro na kwa maana hiyo Antonio Conte ameamua kutafuta mbadala kama usajili wa Alex Sandro utashindikana.
Inadaiwa Conte amepeleka maombi katika klabu ya Fc Porto ya nchini Ureno ili kumsajili beki wake wa kushoto, Alex Telles mwenye uraia wa Brazil. Chelsea ipo tayari kutoa £22milioni ili kumsajili beki huyo endapo tu Juventus itakataa dau la £61.5milioni kwa Sandro.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.