Saturday, 29 July 2017

Mechi ya kirafiki; HT, Chelsea 0 vs 1 Inter Milan

Stefan Jovetic anaifungia Inter Milan goli la kwanza kwa mkwaju wa penati uliookolewa na kipa ila anaurudia tena na kufunga goli. Azpilicueta alijaribu kumzuia Jovetic baada ya kupasiwa mpira mrefu na mshambuliaji huyo kuanguka kwenye eneo la hatari.
Chelsea 0 vs 1 Inter Milan
Mapumziko (HT)

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.