Monday, 3 July 2017

Man utd yamkera Mourinho

Kocha wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho amedai anachukizwa na kinachotokea ndani ya klabu yake ya sasa ya Man utd mara baada ya viongozi wa klabu hiyo kutoonyesha nia ya kuwasajili wachezaji ambao yeye amewataka.

Mourinho alisema katika orodha ya wachezaji ambao yeye alitaka wasajiliwe mpaka sasa ni mchezaji mmoja tu aliyesajiliwa akitokea Benfica ambaye ni Victor Lindelof huku yeye alisema anawataka pia akina Morata wa Real Madrid, Ivan Perisic wa Inter Milan na Nemanja Matic wa Chelsea.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.