Sunday, 30 July 2017

Hongereni Chelsea ya Kenya

Kama mtandao wa habari za Chelsea kwa lugha ya kiswahili tunapenda kutoa pongezi kwa mashabiki wa chama letu hili ambao wamejitokeza ama kucheza katika mchezo wa kirafiki wa mashabiki wa Chelsea nchini Kenya dhidi ya mashabiki wa Manchester united wa nchini humo humo ambao katika mchezo uliochezeka leo asubuhi, Chelsea ya Kenya imeibamiza mashetani wekundu jumla ya mabao 5-2.

Shukrani kwa kuliwakilisha chama letu The Blues katika ubingwa kama ubingwa wetu.

Lakini pia tunawatakia heri na amani katika uchaguzi mkuu ujao. Amen!

Pride of London
Home of Champions

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.