Sunday, 2 July 2017

Conte kufanya umafia kwa majirani

Kocha mwenye mbwembwe nyingi, Antonio Conte amepanga kufanya usajili mkubwa ambao utawashangaza wengi. Utawashangaza wengi kwa kuwa hakuwai kutajwa sana kuhusishwa na mabingwa wa London Magharibi, Chelsea.

Unajua ni nani? Antonio Conte amewageukia majirani zake, Tottenham ambapo kuna fununu kwamba Chelsea inamtaka Delle Alli ambapo mchezaji huyo anayeshikilia tunzo ya mchezaji bora chipukizi anatajwa kuwa na thamani ya Euro milioni 100.
Je Chelsea itafanikiwa kufanya umafia huu? Dunia na mashabiki haswa wa Chelsea wote tunasubiri.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.