Sunday, 11 June 2017

Morata amtaka Bale akaungane nae

Mchezaji wa Real Madrid, Alvaro Morata ambaye amekubali kuungana na klabu ya Manchester United katika dirisha kubwa la majira ya joto amemwomba mchezaji mwenzake wa klabu yake hiyo ya zamani, Galeth Bale ambaye kwa sasa hana uhakika wa namba katika klabu yake hiyo iliyomsajili kwa uhamisho wa rekodi ya dunia ya £80milioni aungane nae ili wakacheze soka pamoja katika klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.