Baada ya kocha Antonio Conte kusadikika amemwambia mshambuliaji wa klabu yake ya Chelsea, Diego Costa kwamba hayupo kwenye mipango yake ya kuelekea msimu wa 2017/2018 na kwa hivyo Chelsea ipo tayari kupokea ofa kutoka klabu nyengine. Na inasemekana wapo tayari kupokea nusu ya bei ya pesa iliyotumia kumsajili mchezaji huyo akitokea Atletico Madrid ambapo alisajiliwa kwa dau la €60milioni ambayo ni sawa na £52milioni na kwa maana hiyo Chelsea ipo tayari kupokea €30milioni ambayo ni sawa na £26milioni.
No comments:
Post a Comment