Winga wa Bayern Munich, Douglas Costa ambaye kwa sasa yupo sokoni akitajwa kuwa na thamani ya £26milioni anaweza akasajiliwa na Juventus baada ya kutakiwa kwa muda mrefu na Tottenham ambapo viongozi wa Juventus wanatazamiwa kukutana na uongozi wa Bayern Munich ili kuweza kumsajili winga huyo.
No comments:
Post a Comment