Chelsea inakaribia kuishawishi Juventus kumuuza mchezaji wao Alex Sandro aweze kujiunga na mabingwa hao wa Uingereza. Chelsea inaonekana kuishawishi na kutaka usajili huo ufanyike kwa hali yoyote mara baada ya kupeleka muhamala wa £61.5milioni mezani kwa Juventus ili kumruhusu mchezaji huyo aondoke.
No comments:
Post a Comment