Mlinzi wa kushoto wa Juventus, Alex Sandro ambaye amekuwa akifukuziwa kwa karibu na Chelsea imetaarifiwa klabu yake hiyo imekataa ofa juu ya mchezaji huyo ambapo Chelsea walikuwa tayari kutoa £44milioni lakini mabingwa hao wa Italia wamekataa kumuuza mlinzi huyo ambaye anatazamiwa na Conte kwamba ataweza kumpa ushindani Marcos Alonso.
No comments:
Post a Comment