Mechi mbili zimesalia ligi kuu ya uingereza iweze kumalizika,lakini Champions elect 'chelsea' jana baada ya ushindi dhidi ya westbrom,wamekuwa mabingwa teari.
Chelsea ambayo ina point 87,kumi zaidi ya mahasimu wao wakali wa msimu huu Tottenham hotspurs ambao wana point 77,hata wakishinda michezo yao iliyobaki watafikisha pointi 83,nne chini ya chelsea.
Ushindi huu ni ishara ya uimara wa kikosi pamoja na mbinu nzuri za mwalimu.
Itaendelea.........
No comments:
Post a Comment