Beki wakati mbrazili David luiz,Ameshindwa kuizui furaha yako hapo jana baada ya kuutwaa ubingwa wa EPL.
Luiz ambaye alitokea benfica miaka minne iliyopita alishindwa kutwaa ubingwa wa ligi akiwa na chelsea kabla ya kuhamia psg mwaka 2014
Luiz ambaye alijiunga tena na kikosi cha antonio conte katika msimu wa 2016/2017 akisema haya baada ya ubingwa.
"Siwezi kuficha furaha yangi,nina furaha sana leo,na ninaona nilikuwa sahihi kabisa kurudi nyumbani ambako kila siku nilikuwa najua kuwa kuna kazi sijamaliza"
No comments:
Post a Comment