Kocha wa Chelsea, Antonio Conte amesema lazima usajili ujao wa dirisha kubwa afanye usajili wa wachezaji sio zaidi ya wanne ili kuziba mapengo ya wachezaji walioondoka.
Oscar, Mikel Obi, Ramires na Ivanovic ni wachezaji ambao walioondoka mwanzoni mwa msimu huu ambapo Oscar aliuzwa kwenda klabu ya China pamoja na Ramires na Mikel Obi wakati Ivanovic alienda Zenit St.Petersburg na kwa maana hiyo Conte amesema ni lazima azibe mapengo ya wachezaji hao.
No comments:
Post a Comment