Friday, 12 May 2017

Chelsea na Tottenham katika vita tena

Tottenham na Chelsea zimeingia tena kwenye vita ila safari hii sio katika kugombania ubingwa ila katika kumsajili beki kitasa wa Bournemouth, Adam Smith.

Antonio Conte ambaye ni kocha wa Chelsea aliwaagiza maskauti wa Chelsea kwenda kumwangalia mchezaji huyo katika mchezo ulioisha kwa kutoshana nguvu kati ya timu hiyo dhidi ya Stoke city ulioisha sare ya 2-2 lakini pia amewaagiza tena 'weekend' hii kwenda kumtazama tena Adam Smith.

Lakini pia mchezaji huyo anatajwa kutakiwa na Tottenham.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.