Kuelekea mwishoni mwa msimu wa 2016-2017 wa ligi kuu ya Uingereza ambapo weekend hii itakuwa wiki ya 32. Washindani wakubwa wanaowania taji hilo la Ligi kuu ya Uingereza, Chelsea na Tottenham ambao wote wana maskani katika jiji la London wakati Chelsea ikiwa na makazi yake London Magharibi wakati Tottenham wanapatikana London Mashariki.
Huku Chelsea akiwa ndie kinara mpaka sasa akiwa kileleni kwa tofauti ya point 7 dhidi ya Tottenham iliyochini ya kocha Mauricio Pochettino.
Hapa nakuletea michezo iliyobaki kwa michuano yote ya timu hizo mbili ambazo zimekuwa zikikimbizana kwa karibu na kupewa nafasi kubwa kabla mmoja wao kati ya hao lazima awe bingwa msimu huu.
Chelsea
Man utd vs Chelsea
16-April
Ligi kuu Uingereza
Chelsea vs Tottenham
22-April
Kombe la FA
Chelsea vs Southampton
25-April
Ligi kuu Uingereza
Everton vs Chelsea
30-April
Ligi kuu Uingereza
Chelsea vs Middlesbrough
08-May
Ligi kuu Uingereza
West Bromwich vs Chelsea
12-May
Ligi kuu Uingereza
Chelsea vs Watford
15-May
Ligi kuu Uingereza
Chelsea vs Sunderland
21-May
Ligi kuu Uingereza
Tottenham Hotspur
Tottenham vs Bournemouth
15-April
Ligi kuu Uingereza
Chelsea vs Tottenham
22-April
Kombe la FA
Crystal Palace vs Tottenham
26-April
Ligi kuu Uingereza
Tottenham vs Arsenal
30-April
Ligi kuu Uingereza
West Ham vs Tottenham
05-May
Ligi kuu Uingereza
Tottenham vs Man utd
14-May
Ligi kuu Uingereza
Leicester vs Tottenham
18-May
Ligi kuu Uingereza
Hull city vs Tottenham
21-May
Ligi kuu Uingereza
NB; kutokana na mchezo wa kombe la FA baina ya timu hizo mbili, mojawapo inaweza ikavuka na kucheza mchezo wa fainali kwa maana hiyo mchezo mmoja unaweza ukaongezeka kati ya timu hizo mbili kama ratiba ya fainali.
No comments:
Post a Comment