Victor Moses amesaini mkataba mpya na Chelsea ambapo utamweka hapo mpaka mwaka 2021
"nina furaha kuwa hapa, tuna kocha mzuri anayemfanya kila mtu ajiamini" alisema Moses baada ya kusaini.

No comments:
Post a Comment