Saturday, 4 March 2017

Mashabiki wa West Ham na Chelsea waonywa

Mashabiki wa West Ham na Chelsea wameonywa kwa kutojaribu kufanya vurugu kama walivyofanya mara ya mwisho kati ya timu hizo zilipokutana mwezi October mwaka jana (2016). Timu hizo ambazo zote zinapatikana katika jiji la London nchini Uingereza zilikutana mwaka 2016 katika mpambano wa kombe la ligi la EFL na ndipo mashabiki hao wa pande hizo wakaanza kugombana.

Lakini chombo cha usalama kimetoa tahadhari kwa mashabiki hao katika mchezo wa ligi kuu raundi hii ya 27 utakaochezwa jumatatu katika uwanja wa London stadium, uwanja ambao waligombana mara ya mwisho katika uwanja huo huo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.