Hatimaye Chelsea yatimiza miaka 112 toka kuanzishwa kwake tarehe 10-March-1905 na ndugu wa familia moja Gus Mears na Joseph Mears waliokuwa wanaumiliki uwanja wa Stamford Bridge uliokuwa unatumiwa na London Athletic Club kabla ya kuvunjwa na kuundwa timu ya Chelsea.
Hatimaye leo ndio Chelsea inatimiza miaka 112
Happy Birthday Chelsea FC
Happy Bornday CFC
No comments:
Post a Comment