Thursday, 2 March 2017

Happy Birthday Damien Duff

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mchezaji wa zamani wa Chelsea, Damien Duff ambaye ni raia wa Ireland.

Alizaliwa tarehe 2-March-1979 na jina lake kamili akiitwa Damien Anthony Duff na alikuja Chelsea mwaka 2003 na kuichezea Chelsea michezo 81 na kufanikiwa kufunga magoli 19 na kuuzwa kwenda Newcastle mwaka 2006.

Damien Duff anatimiza miaka 38
Happy Birthday Duff

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.