Kumekuwa na hoja katika mitandao kuhusu jamaa yetu, kipaji chetu au mtoto wetu kipenzi Eden Hazard kuhusu kuweka kwake tattoo na wengi wakimlaumu. Napenda kuwaambia jamaa kama tattoo hajaanza nazo kuwa leo.
Ndio maana nikakuunganishia hizo picha ili uone picha yake ya zamani akiwa ana tattoo ubavuni na nyengine akiwa katika kituo cha tattoo pale mitaa ya Fulham.
No comments:
Post a Comment