Mwaka mmoja tu umepita baada ya chelsea kumuuza kipa wao mkongwe petr cech arsenal na kumkabidhi mikoba hiyo courtois ambaye sasa hivi anaonekana kivuli cha courtois wa atletico madrid ambapo alicheza kwa mkopo.
Courtois ambaye hivi karibuni alikiri wazi kuwa na mapenzi na atletico madrid,statistic zinaonesha ndiye kipa mwenye matokeo mabaya zaid msimu huu..
courtois amepigiwa mashuti 17 kati ya hayo 9 yalizaa magori.Hizo ni takwimu mbaya hasa kwa kipa ambaye anakaririwa kuwa mmoja mwa makipa bora duniani.
No comments:
Post a Comment