Mechi imeisha kwa Inter Milan kupata ushindi mwengine wa 2-1 mbele ya Antonio Conte na Chelsea yake.
Magoli ya Jovetic na Ivan Perisic yameisambaratisha Chelsea ya Conte kabla ya mlinzi wa Inter, Kondogbia kujifunga na kufanya matokeo kuwa 2-1. Chelsea inayojiandaa kucheza mchezo wake wa ngao ya hisani dhidi ya Arsenal siku ya tarehe 06-Agosti.
No comments:
Post a Comment