Haya haya sasa Chelsea wanarudi baada ya kuchomoa goli moja.
Ni pasi ndefu iliyopigwa na Victor Moses akiwa upande wa kulia akapiga pasi kati ikawa ina ambaambaa akatokea Marcos Alonso akiwa upande wa kushoto akafumua shuti kali na kuipatia Chelsea goli la kwanza.

Chelsea 1 vs 3 Bayern Munich
No comments:
Post a Comment