Straika wa Real madrid Cristiano ronaldo ambaye ni mfungaji bora wa uefa msimuu huu,akihojiwa na waandishi wa habari amekiri kuwa anaweza kuondoka real madrid na hakuna kinachoshindikana.
Kwa kauli hiyo,Ronaldo ameacha milango wazi kwa clabu ambazo zinataka kumsajiri.Ronaldo ambaye mwaka huu ametimiza miaka 32,msimu huu amesajiri kandarasi ndefu na real madrid ambayo itadumu mpaka 2021.
psg,mancheste united na vilabu vya china ndiyo vinavyokimbilia saini yake

No comments:
Post a Comment