Ilikuwa msimu wa 2008-2009 hatua ya robo fainali kati ya Liverpool dhidivya Chelsea, mchezo wa kwabza uliisha kwa sare ya 1-1
Hii mechi ilikuwa ndio mechi ya utamu iliyojaa soka la kushambulia. Kocha wa Chelsea akiwa Guus Hiddink. Iangalie ukumbushie Chelsea ya akina Drogb, achana kwanza na hii ya akina Costa.
No comments:
Post a Comment