Kutokana na gazeti la Sports.es limetoa habari kwamba klabu ya PSG ipo tayari kumuuza kiungo wake ambaye ameng'aa sana msimu huu, Marco Verrati lakini dau lake ndo sio la kinyonge. Yaani kama upo tayari kumtaka Verrati basi inabidi uvunje kibubu na utoe £70milioni (paundi milioni 70). Sasa kama kweli Chelsea wanamtaka kweli basi inabidi itoe hiyo hela.
No comments:
Post a Comment