Leo ni kumbukumbu ya mchezaji wa zamani wa Chelsea, Peter Osgood ambapo aliichezea Chelsea kuanzia mwaka 1964 na kufanikiwa kuichezea Chelsea michezo 289 na kufanikiwa kuifungia magoli 108 kwa muda wake wote akiwa Chelsea.
Alizaliwa tarehe 20-February-1947 na kufariki tarehe 01-March-2006 akiwa na miaka 56.
Peter Osgood aliisaidia Chelsea kutwaa kombe la FA.
Katika uwanja wa Chelsea wa Stamford Bridge kuna sanamu yake ambayo imewekwa kama heshima kwake.
No comments:
Post a Comment