Hii ni ratiba ya mashindano ya Chelsea kuelekea kukamilisha msimu wa ligi kuu ya Uingereza na kombe la FA kwa msimu wa 2016-2017
Chelsea FC
13-March-2017;
FA Cup
Chelsea vs Man utd
18-March-2017
Premier League
Stoke City vs Chelsea
01-April-2017
Premier League
Chelsea vs Crystal Palace
05-April-2017
Premier League
Chelsea vs Man city
08-April-2017
Premier League
AFC Bournemouth vs Chelsea
16-April-2017
Premier League
Man utd vs Chelsea
23-April-2017
Premier League
Chelsea vs Southampton
30-April-2017
Premier League
Everton vs Chelsea
06-May-2017
Premier League
Chelsea vs Middlesbrough
13-May-2017
Premier League
West Bromwich Albion (WBA) vs Chelsea
21-May-2017
Premier League
Chelsea vs Sunderland
NB; Ratiba ya michezo ya Premier League au Ligi kuu inaweza ikabadilika kutokana na ushiriki wa Chelsea katika kombe la FA lakini pia kuna mechi iliyotakiwa kuchezwa tarehe 13-March-2017 kati ya Chelsea dhidi ya Watford ambapo itapangwa tarehe maalumu ya kufanyika baada ya kuhairishwa maana kwa siku hiyo Chelsea ana mchezo dhidi ya Man utd.
No comments:
Post a Comment