Kutokana na ratiba ya kombe la FA ilivyopangwa baada ya timu kufuzu hatua ya robo fainali na kwenda hatua ya nusu fainali. Basi hii ndo itakuwa ratiba ya Chelsea itakavyokuwa;
Chelsea FC
18-March-2017
Premier League
Stoke City vs Chelsea
01-April-2017
Premier League
Chelsea vs Crystal Palace
05-April-2017
Premier League
Chelsea vs Man city
08-April-2017
Premier League
AFC Bournemouth vs Chelsea
16-April-2017
Premier League
Man utd vs Chelsea
22 au 23-April-2017
FA Cup
Chelsea vs Tottenham
23-April-2017
Premier League
Chelsea vs Southampton
30-April-2017
Premier League
Everton vs Chelsea
06-May-2017
Premier League
Chelsea vs Middlesbrough
13-May-2017
Premier League
West Bromwich Albion (WBA) vs Chelsea
21-May-2017
Premier League
Chelsea vs Sunderland
NB; Kutokana na mchezo wa nusu fainali ya kombe la FA kukaribiana tarehe na mchezo wa ligi kuu ya Uingereza kati ya Chelsea dhidi ya Southampton basi huenda ratiba ikabadilika.
No comments:
Post a Comment