Kuelekea mchezo wa West Ham vs Chelsea siku ya leo tarehe 06-March-2017 saa 23:00.
West Ham watamkosa mchezaji wao ambaye ndiye mwenye magoli mengi ndani ya klabu hiyo kwa msimu huu, Michail Antonio ambaye ameifungia timu hiyo magoli 8 mpaka sasa, watamkosa mchezaji huyo kwa kuwa mchezo uliopita alipata kadi nyekundu. Lakini pia taarifa nzuri kwao ni kwamba mchezaji wao Andy Carroll jana mchana aliungana na wachezaji wenzake katika mazoezi ili kujiandaa na mchezo huo ambapo alikuwa nje kwa muda kutokana na majeruhi aliyoyapata.
No comments:
Post a Comment