Wednesday, 8 March 2017

Marcos Alonso hatihati kucheza dhidi ya Man utd

Mchezaji nyota wa Chelsea mwenye utaifa wa Hispania, Marcos Alonso ambaye alitua Chelsea akitokea Fiorentina ya nchini Italia hana uhakika wa kucheza dhidi ya Man utd katika mchezo wa robo fainali ya kombe la FA siku ya jumatatu ya tarehe 13-March-2017 kutokana na majeraha aliyoyapata.

"natamani kucheza katika mchezo huo lakini bado nina maumivu, lakini cha muhimu zaidi ni kuona timu inapata matokeo lakini kama kocha akihitaji nicheze basi nitacheza." alisema Marcos Alonso.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.