Kuelekea Chelsea kutimiza miaka 112 toka kuanzishwa kwake mnamo tarehe 10-March-1905
Leo nakuletea Chelsea ya kwanza kabisa ya msimu wa 1905-1906
Mmiliki wa timu;
Gus Mears
Mwenyekiti wa timu;
Claude Kirby
Kocha;
Jacky Robertson
Uwanja;
Stamford Bridge
Mfungaji wa magoli mengi kwa msimu;
Frank Peterson magoli 18
Mahudhuria makubwa;
Chelsea vs Man utd ilikuwa mashabiki 67000 tarehe 13-April-1906
Mahudhurio madogo;
Chelsea vs Lincoln ilikuwa mashabiki 3000 tarehe 17-February-1906
Ushindi mkubwa;
Chelsea 7 vs 0 Burslem Port Vale tarehe 1-March-1906
Kipigo kikubwa;
Chelsea 1 vs 7 Crystal Palace tarehe 18-November-1905
Msimamo mpaka mwisho wa msimu;
3. Chelsea 38P 22W 9D 7L 90F 37A 2.3GF 53pts. Chelsea ilimaliza nafasi ya 3 katika ligi daraja la 2.
Kikosi kilichotumika kwa msimu huo;
Jina-Utaifa
Makipa
1. Micky Bryne-Uingereza
2. Bill Foulke-Uingereza
3. Bob Whiting-Uingereza
Mabeki
4. James Fletcher-Uingereza
5. Charles Harris-Uingereza
6. Bob Mackie-Scotland
7. Bob McEwan-Scotland
8. Tommy Miller-Scotland
Viungo
9. Jimmy Graigre-Scotland
10. George Henderson-Scotland
11. George Key-Scotland
12. Bob McRoberts-Scotland
13. Peter Proudfoot-Scotland
14. Jacky Robertson-Scotland
15. James Watson-Scotland
16. Frank Wolff-Uingereza
Washambuliaji
17. David Copeland-Scotland
18. Donaghy-Scotland
19. Joe Goodwin-Uingereza
20. Jack Kirwan-Uingereza
21. Tom McDermolf-Scotland
22. Martin Moran-Scotland
23. Francis O'Hara-Scotland
24. Frank Pearson-Uingereza
25. Willie Porter-Uingereza
26. Jimmy Robertson-Scotland
27. Walter Toomer-Uingereza
28. Jimmy Windridge-Uingereza
No comments:
Post a Comment