Eden Hazard winga hatari wa Chelsea ameshinda tunzo ya goli bora la mwezi February alilofunga dhidi ya Arsenal katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wapinzani hao wa jiji moja.
Baadhi ya wachezaji waliokuwa wanawania pia tunzo hiyo ni Lukaku, Mkhitaryan na Sigurdsson.
No comments:
Post a Comment