Saturday, 11 March 2017

Happy Birthday Didier Drogba

Leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Didier Drogba aliyezaliwa siku kama ya leo tarehe 11-March-1979 na leo anatimiza miaka 38.
Jambo kubwa huenda ukawa hulijui kwa veteran huyu ni kwamba wakati akiwa na miaka 5 alitoka Ivory Coast ambapo ndipo alipozaliwa na alipokuwa anaishi na wazazi wake na kusafirishwa kwenda Ufaransa kwa mjomba wake lakini baada ya muda akaanza kuumwa ndipo akarudi tena Ivory Coast alipouguzwa na kupona. Na alikuwa anacheza mpira katika sehemu ya maegesho ya magari. Na pia mama yake aliwai kumpa jina la Tito kama jina la utani..

Siku ya leo katika mjue zaidi nitakupa historia yake ya maisha ya shujaa huyu wa Chelsea..

Happy Birthday Didier Drogba
Happy Birthday Double D

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.