Saturday, 4 March 2017

Gary Neville atoa neno kuhusu Chelsea

Gary Neville ambaye alikuwa mchezaji wa Man utd ambaye amekuwa akifanya kazi ya uchambuzi wa soka katika baadhi ya vyombo vya habari.

Ametoa neno kuhusu Chelsea, amesema;
"Nimeshangazwa na David Luiz kurudi ligi kuu ya Uingereza, amekuwa akicheza vizuri na hata hawaruhusu wa pinzani kupata goli. Azpilicueta hakuwa vizuri msimu uliopita lakini msimu amekuwa wa ajabu, Cahill amezidi kuimarika. Marcos Alonso alikuwa Bolton lakini hatukumtilia maanani lakini kwa sasa ana kiwango kisichoelezeka. Moses anazidi kutushangaza."

Lakini pia siku kadhaa alinukuliwa akisema Kante anastahili kuwa mchezaji wa msimu lakini sio Ibrahimovic ambaye ni mchezaji wa Man utd.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.