Wednesday, 8 March 2017

FA Cup; Eden Hazard atoa neno

Eden Hazard ambaye ni nyota wa Chelsea ambaye ana uraia wa Ubelgiji ametoa neno kuelekea mchezo wa robo fainali kati ya klabu yake dhidi ya Man utd

"Nina miaka mitano ndani ya Chelsea tangu nitue hapa, lakini muda wote huo sijawai kutwaa kombe hili la FA. Natumaini nitafanikiwa kulibeba msimu huu japo najua mchezo dhidi ya Manchester united ni mgumu lakini natuamini kama tuliweza kuwafunga 4-0 mchezo wa kwanza basi tutaweza kufanya hivyo tena"

Hazard alitua ndani ya Chelsea akitokea Ufaransa katika klabu ya Lille ambayo aliichezea klabu hiyo kwa mafanikio makubwa, kabla ya kutua Chelsea mwaka 2012.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.