Mchana wa leo, siku ya ijumaa ya tarehe 10-March-2017 kama ilivyo kawaida ya Antonio Conte kukutana na waandishi wa habari kufanya naye mkutano kabla ya mwisho wa wiki ambapo huwa kuna michezo inayotarajiwa kuchezeka ambapo kwa wiki hii kutakuwa na michezo ya kombe la FA na Chelsea itamenyana na Man utd siku ya Jumatatu ya tarehe 13-March-2017 katika mishale ya saa 22:45
Kuhusu majeruhi
Conte; Mpaka sasa hakuna majeruhi yoyote kwa maana hiyo kwa mazoezi ya kesho na jumapili nategemea kuwa na wachezaji wote

Kuhusu Terry
Conte; Amekuwa ni mtu wa muhimu sana ndani ya uwanja na nje ya uwanja pia. Natamani kuendelea kubaki nae na naamini itakuwa hivyo.

Conte; Ni kocha bora, mi naamini hivyo na hakuna tatizo lolote kati yangu mi nayeye. Kikubwa nilichonacho nna moyo wa kupenda mpira ndio maana nataka wachezaji wangu, mashabiki na hata makocha wenzangu natamani waupende kama mi navyoupenda hilo tu ndo kubwa kwangu ila sina tofauti yoyote kati yangu mi na Mourinho.
Kuhusu maisha yake baadae ndani ya Chelsea
Conte; Naamini kuhusu sasa, na nadhani cha muhimu ni sisi wote kuangalia sasa kuna nini sio baadae itakuwaje. Tufanye vizuri sasa kisha baadae ikifika tuiongelee na kama kufanya mazungumzo baina yangu mi na uongozi ufanyike muda huo.

Kuhusu Wenger
Conte; Ni kocha bora sana hapa duniani. Amekuwa Arsenal kwa miaka 20 na amekuwa akishiriki klabu bingwa ya Ulaya (Uefa Champions) kwa kila msimu, hilo ni jambo kubwa na anahitajika kupewa heshima kwa hilo.

Kuhusu kuondoka Chelsea
Conte; Hayo maneno ni kawaida kuwepo haswa pale timu inapokuwa na wakati mzuri na Chelsea ni timu kubwa kama zilivyo Barcelona au Real Madrid kwa hiyo sishangazwi nayo.

Kuhusu uwezo wa timu kwa mataji
Conte; Mpaka sasa tunashiriki katika mataji mawili, Ligi kuu Uingereza na FA Cup. Ni vyema kushinda mataji yote japo ni kazi ngumu. Kwenye ligi nimebakiwa na michezo 11 wakati nahitaji alama 24 ambapo pia kwenye FA Cup nakutana na Man utd ambao nao wanataka kulitwaa kombe hilo kwa hiyo kote bado pagumu na bado hakuna kombe tulilotwaa.

No comments:
Post a Comment