Wachezaji wa Chelsea wanaotokea katika nchi ya Hispania ambao ni Diego Costa, Cesar Azpilicueta Tanco, Cesc Fabregas, Pedro na Marcos Alonso ndio wahispania waliofunga magoli mengi kuliko wahispania wanaocheza katika klabu nyengine kubwa Ulaya.
Wahispania wa Chelsea wana magoli 39
Wahispania wa Real Madrid wana magoli 37
Wahispania wa Atletico Madrid wana magoli 18
Wahispania wa Barcelona wana magoli 14
Takwimu hii ni kwa msimu huu wa 2016-2017
No comments:
Post a Comment