Chelsea inasemekana siku ya jumamosi ilipeleka watu wake (scouts) katika mechi ya FC Porto dhidi ya Guimares ambapo watu hao wanatajwa walienda ili kuwaangalia wachezaji wawili wa FC Porto ambao ni Andre Silva na Danilo Pereira.
Andre Silva ametajwa kuwa na kiwango kizuri akicheza kama mshambuliaji ambapo katika michezo 25 amefanikiwa kufunga magoli 15.
No comments:
Post a Comment