Saturday, 18 February 2017

Chelsea FC; Drogba na ufalme wake

Chukua iyooo.....
Je unajua kama Didier Drogba ni mmoja kati ya wachezaji watano waliowai kufunga magoli mengi ndani ya ligi kuu Uingereza maarufu kama Premier League kutoka nje ya bara la Ulaya.

Wachezaji wanaoongoza;
1. Dwight Yorke akiwa na magoli 123

2. Kun Aguero akiwa na magoli 113

3. Didier Drogba akiwa na magoli 104

4. Emanuel Adebayor akiwa na magoli 97

Kwa maana hiyo pia Drogba ndie mchezaji mwafrika mwenye magoli mengi ndani ya Ligi kuu ya Uingereza kuliko mchezaji yeyote.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.