Chelsea hapo jana iliichapa Leicester city nyumbani bao 3-0 mabao yaliyowekwa kimyani na Costa,hazard nabao la mwisho kufungwa na moses.
Mechi hiyo iliyotawaliwa kwa kiasi kikubwa na chelsea huku kiungo Ng'olo kante aliyotokea Leicester city akionesha kiwango kikubwa na kupewa man of the match award.
Chaajabu katika mechi iyo ni ule ushangiliaji ulioonekana ukishangiliwa na Hazard na costa ambao baada ya mechi walisema kuwa zilikuwa ni salamu za willian ambaye juzi alifiwa na mamayake mzazi.
No comments:
Post a Comment