Nyota raia wa Ureno anayeichezea Sporting Lisbon ya nchini humo, William Carvalho ambaye amekuwa akifukuziwa na Chelsea huenda akajiunga na AS Monaco ya nchini Ufaransa.
Carvalho ambaye alishawai kutajwa na Chelsea haswa katika kipindi hiki ambacho Chelea itashiriki katika michuano mingi. Habari zilizopo zinadai Monaco itamfata Carvalho endapo tu kiungo wake Fabinho ataungana na wababe wa Stade Louis II yaani PSG.
No comments:
Post a Comment